- Diet yetu ni low carbs diet, ina vyakula kama nyama, samaki,kuku, matunda, mbogamboga (kachumbari, karoti, matango, nyanya, kabichi) , mayai ya kuchemsha na mkate wa brown.
- Edgepoint tunaandaa vyakula hivi, kifungua kinywa, chakula cha mchana na cha jioni na tunakuletea popote ulipo kwa trip mbili au moja kuendana na vyakula vya siku hiyo
- Chakula cha asubuhi na mchana vitaletwa kwa pamoja asubuhi, kati ya saa mbili asubuhi na saa nne asubuhi. chakula cha jioni kitaletwa kati ya saa nane na nusu mchana na saa kumi na moja jioni,
- Unatakiwa kuanza kula mlo wa asubuhi kuanzia saa nne asubuhi tu! hii ni kwaajili ya kuupa mwili wako muda wa asubuhi kutumia chakula ulichokula usiku wa jana yake
- Unatakiwa kunywa maji lita mbili kila siku kabla ya saa moja kabla hujalala
- Fanya mazoezi kadri uwezavyo, kama unaweza kufanya robo saa kwa siku, lisaa limoja kwa siku au masaa matatu, ni wewe tu na uwezo wa mwili wako, ila usijikaze sana kwasababu diet inaweza kukufanya usiwe na nguvu kama za kawaida
- KULA VYAKULA AMBAVYO TU, UNALETEWA NA EDGEPOINT

No comments:
Post a Comment