PUNGUZA KILO 9 NDANI YA WIKI NNE!!!!

Breakfast, Lunch na Dinner kwa shilingi 10,000 tu kwa siku! piga 0715808038 kujiunga.

Tuesday, January 1, 2013

LOSE WEIGHT AFTER X-MAS HOLIDAYS

Weka oda yako kwa kutuma email: lcmakoi@gmail.com, niandikie tarehe unayotaka kuanza diet, namba yako ya simu na unapopatikana.

Tuesday, November 13, 2012

PUNGUZA UZITO KWAAJILI YA LIKIZO ZA DECEMBER

Bei ya pack ya diet sasa ni 8,000 kwa siku. Hatutakuletea Pack ofisini, utanunua mwenyewe kwenye outlets zetu Sayansi na Kisutu.
Wasiliana nasi kwa maswali.

Wednesday, July 25, 2012

Wednesday, June 6, 2012

Dieters 20 tu kwa wiki kuhudumiwa!

Wapendwa, katika kuwasaidia wakinamama na waschana wenzangu wasiopenda unene na kutaka kupungua kwa njia asili na salama, tutaweza kuhudumia wateja 20 tu kwa wiki ili tuweze kuwa wahishia wote packs zenu. kama mnavyojua mji ni mkubwa na tume weka bei ya huduma reasonable ili kila mtu aweze kuafford, hivyo timu ya usambazaji itaweza kuwahudumia wateja 20 tu, ili kuwa wahishia vyakula. Tulikua tukihudumia hadi wateja 50 kwa siku, ila ilikua inasababisha nusu kupata vyakula mapema na nusu iliyobaki kuchelewa. Hivyowasiliana nasi mapema ili tukuweke kwenye list zetu kuendana na limit hii mpya!
NIA NI KUKUPA HUDUMA BORA KWA BEI NAFUU!

WEIGHT WATCHER programme inamalizika..Jiunge

Programme yetu ya Weight watcher inamalizika:
Kwa wenye kutaka kupungua unene na kwa wanaotaka kumaintain uzito wao, kuishi na kula kwa afya! Jiunge na programu yetu kwa shilingi 201,000/= vyakula, 112,000/= mazoezi (kwa mwenzi) au 201,000/= vyakula, 56,000/= mazoezi (mara mbili kila wiki);
  • Fanya mazoezi Fitness Master, Leaders 
  • Pata trainer wako binafsi, Morris (amesomea diet na fitness UK), 
  • Pata vyakula vyetu vya diet ,
  • Pata clinic ya mwili wako bure,
  • Trainer atakufuatilia kua unafanya diet na mazoezi kama inavyotakiwa kila siku
Tupigie  0715808038 Kujiandikisha!

Tuesday, June 5, 2012

Shamim before and after

Pata muonekano na Edgepoint Dieters, tunakuandalia breakfast, lunch na dinner na kukuletea ulipo! Tumia vyakula vyetu na upunguze unene unaokusumbua. Tupigie kwa maelezo zaidi.

Presenting our favorite dieter!!!!!  Anazidi kuvutia na kua mrembo siku hadi siku!
Mwanzoni mwa program ya diet

Akiendelea kupungua na kupendeza

Looking sexxy!