PUNGUZA KILO 9 NDANI YA WIKI NNE!!!!

Breakfast, Lunch na Dinner kwa shilingi 10,000 tu kwa siku! piga 0715808038 kujiunga.

Kuolewa au kua nyumba ndogo wa mume wa mtu mwenye hela? (to get married or be the rich married man's girlfriend?)

Sweet heartsTuchangiane mawazo katika hili;


A. Nyumba Ndogo ya mapedeshee/ Rich married man's girlfriend











1. Sina stress nae.I meet him kwenye bars, safari za nje ya nchi na fancy hotels. I make him happy and he leaves. Wakati ukifika, kila mtu anaendelea na maisha yake.
2. His problems are not mine. Akiishiwa sio jukumu langu kusononeka nae, napimia tatizo lenyewe, kama ni la muda mrefu, najitaftia ustaarabu mwingine, kama ni la muda mfupi, i pretend namjali hadi mambo yakae sawa.
3. Shop til you drop! that's me. Navaa, nipendeze, nivutie. I want it that way, na yeye anataka niwe hivyo, so atanipa hela za kutosha kunifanya nionekane mwanamke wa kisasa na mwenye mvuto kwa watu wake wa karibu. Nikikutana na baby, he is never dissapointed!
4. I am the modern one, and she is the local one. Yaani no matter how wakisasa mkewe atakua, lakini mimi ni kazi yangu kua wa kisasa zaidi.
5. Sina shida ya hela. Kua nyumba ndogo ya mume wa mtu, always nakua na hela ya kunitosha. hawezi kupuuzia ombi langu lolote la pesa.
6. No Kids. Naskia waliolewa wanavyolalamika majukumu ya mtoto na familia yalivyo magumu. For me, its a no, no! 
7. Sina kuvumilia kwenye shida na raha, sjui hadi kifo kitu tenganishe. when im fed up, naachana nae. Sote tunajua tumeumbwa kuzoea, kuchoka na kukinai, sasa milele ya nini, si stress tu!
8. I fake it, he buys it and cash me! Sitafuti kuridhishwa kwenye mapenzi, najidai ananifurahisha kuliko mwanume yeyote yule, namfurahisha na yeye, tukimaliza ananipa pesa au hitaji lolote lile kama ni nyumba au gari la kifahari. Tunajua wanaume wenye hela kwanza hawajali miili yao, nao ni wanene na wazembe tu kama wake zao kwahiyo game ni ZIRO tu nao, ila kwa pesa, umefika, so nina huyo mzee wakutimiza mahitaji na vijana wa kunifanyia mavituz ya hatari!
9. I am free! hili ndo muhimu kabisaa, I have my social life, I can still date wanaume wengine nnavyotaka, fanya one night stand when I want to, kila kitu!

B. MKE/ The wife











1. Nina mpenzi wa milele! Nina mtu ninaye mpenda kuliko kitu chochote, na yeye  ananipenda, hilo lina maana kubwa mno!
2. Tuna watoto wazuri. mimi na yeye tuna familia yetu.
3. Nina mtu wa kuniliwaza na kuishi naye kwenye raha na shida. I always have a helping hand.
4. Nina heshimika na ndugu , jamaa na marafiki
5. Nimejiokoa na magonjwa ya zinaa, I am faithful to my huband na  nina amini yeye ni muaminifu kwangu
6. Future yangu iko certain. Nina mtu wa kufanya nae mipango ya maisha na kundaa future yenye uhakika
7. Napenda kua na mtu/ watu wakuwajali, kula yao, kuvaa na maisha yao ya kila siku  ni juu yangu!  Ni furaha sana kujua kuna watu wanakuhitaji.
8. Nafahamu kua sisi wanawake baada ya umri fulani, uzuri na mvuto unapungua, kwangu sio tatizo sana, nimesha jihalalishia wa kwangu, hata akinisumbua, atarudi tu na tutaendelea kupendana.
9. I am never bored. Kama siko na mume wangu kipenzi, basi nitakua na watoto wangu. Kazi, ndugu na mashosti ni chombeza.
10. Sina ushindani na wanawake wengine. Naishi kwenye confort zone, navaa ninavyopenda, nakula ninavyojisikia, nafanya kila kitu vile nanivyotaka bila kushindana na mwanamke au wasichana wengine, sababu I have my own man!
11. Nina mtu wa kuniambia ananipenda, kunithamini, kuniappreciate.
12. I have a reason for living. Nina malengo na sababu ya kuishi. nikifa au kupata matatizo leo, kuna watu ambao maisha yao yatasimama . Feels good!
13. Thamani. Ananithamini na atanithamini milele. Hata kama dunia itaona nimepoteza mvuto, kwake yeye nina thamani kubwa zaidi ya muonekano na hakuna mwanamke yeyote atakae muona ana thamani zaidi yangu, ndo maana kamwe hawezi niacha kwaajili ya kimada, hana thamani niliyokua nayo!!!!
14. My social life ni familia yangu. Niki wa miss mashosti, nawatafutia muda. Maisha yangu yako balanced na mambo ya msingi, sio kutwa na mashosti kupiga umbea.

6 comments:

  1. mh! heri kua nyumba ndogo

    ReplyDelete
  2. mh nyumba ndogo anafaidi hela mke watoto bora kua mke

    ReplyDelete
  3. mi nimeolewa, bora kua mke ila uzeeni, ujanani huku presha tupu hadi unatamani kua nyumba ndogo, wanakula maisha haooo.
    ila fainali miaka 35 kuendekea wakati wote tumesha mature...wanaume hawapatikani tena kirahisi.

    ReplyDelete
  4. nafikirihuo mtazamo sio sawasawa. Inawezekana ikawa kweli lakini ni kwa watu wasio kuwa na uwezo wa kuona mbele au kujua nini ni cha maana katika maisha.
    Ninachoweza kusema tu ni kuwa from benefits za kuwa kimada ni kwamba unakosa furaha ya kujua mapenzi ya kweli ni nini.. hayo ya shida na raha.. kuona furaha ya kuwa na watoto...

    Kwa mke ni kuwa kwanza maisha ni mtazamo wako... jifunze kuwa yule msichana mumu wako aliyempenda tokea mwanzoni na ikibidi hata zaidi. Acha visingizio... watoto, kazi, etc sio excuse ya kutokuwa na mvuto. Pili, usiwe na kujiamini sana... imani yako iwe kwa Mungu sio mumewe coz na yeye pia ni binadamu na sio mkamilifu. Pia, kuwa busy..... hamna kitu kinamvutia mwanaume kama mwanamke aliye na mvuto, independent, na kujiheshimu.

    ReplyDelete
  5. Wife oyeeeee!!!!!

    ReplyDelete