PUNGUZA KILO 9 NDANI YA WIKI NNE!!!!

Breakfast, Lunch na Dinner kwa shilingi 10,000 tu kwa siku! piga 0715808038 kujiunga.

Friday, May 18, 2012

Advice kwa new dieters...

Ushauri kwa wanaoanza diet, program ya diet ni unafanya wiki mbili then unapumzika one week then unarudia tena unafuata mfumo huo hadi ufikie target weight. Kitu ambacho mimi binafsi nime experience nikiwa naanza diet ni kua ile wiki ya kwanza you are most likely to cheat diet yako, hivyo hata malengo hufikii, pia kwa wateja wengi, wanasema wanapata similar situations. Ushauri wangu kwa dieters wanaoanza diet, fanya wiki tatu mfululuzo, ili ile wiki ya kwanza kama ulishindwa kua serious kama inavyotakiwa wiki mbili zinazofuata zisaidie kukufikisha kwenye uzito unaotaka.
Ingawa kuna dieters wako makini haoo, wakianza tu diet wako strict, if you are one of those then una shauriwa kufanya wiki mbili then unapumzika wiki then back tena wiki mbili. Kwa wenye nguvu, unaweza kufuata huu mfumo kila siku kama your life style ila mara moja moja unajiachia na kula vyakula unavyopenda.

2 comments:

  1. hi,ningependa kujua mnampatiaje mtu meals zake,yaani mfano ninafanyakazi town ila jumamosi na jumapili siko town,sasa nlitaka kujua inakuaje coz kama naanza diet it means lazima nimalize the two weeks without breaking it,sio?i really need to diet

    ReplyDelete
  2. You wгite very well, had me connectеd.
    My web site http://www.jogosdefutebol.com.br

    ReplyDelete