Kumbuka, Diet hii ifuatwe kwa siku 7 tu na kupumzika kwa angalau wiki mbili kabla ya kuanza tena
Day One:
MATUNDA; Kula matunda yoyote unayotaka kasoro ndizi. Kula matunda yako na Supu kwa siku ya kwanza. Kwa vinywaji- Chai au kahawa isiyo na sukari na maji
Day Two:
MBOGA MBOGA:Kula hadi uvimbiwe na mboga mboga freshi zilizopikwa au mbichi unazopendelea. Jaribu kutumia mboga za majani na uepuke maharage njegere na mahindi. Tumia mboga mboga na supu yako. Kwa chakula cha usiku jizawadie kiazi kikubwa cha kuokwa chenye siagi kidogo. Usile matunda kabisa leo.
Day Three:
CHANGANYA SIKU YA KWANZA NA YA PILI: Kula supu yako, matunda na mbog mboga. usile kiazi.
Day Four:
Ndizi na Maziwa yasiyokua na mafuta. (skimmed milk): kula ndizi mbivu utakazo hadi 8 na glasi za maziwa utakavyo siku hii. siku hii ni kwaajili ya kukupunguzia tamaa ya vitu vitamu.
Day Five:
NYAMA NA NYANYA: Kula nyama isiyo na mafuta hadi kilo 1 na nyaya hadi 6. Kunywa angalau glasi 6 hadi 8 za maji kuondoa asid mwilini. unaweza kula kuku wa kuchemsha au kuokwa badala ya nyama ila ondoa kabisa ngozi ya kuku. Ukipenda tumia nyama au kuku siku hii, ila sio vyote.
Day Six:
NYAM NA MBOGA MBOGA: kula nyama upendanyo na mboga mboga siku hii. usile kabisa viazi leo, pia usisahau supu yako ya kabichi.
Day Seven:
Mchele wa brauni, juisi ya matunda isiyo na sukari ya ziada na mboga mboga. Kula hadi ushibe kabisa, ila usisahau supu yako walau mara moja.
TUNAOMBA MUANDIKE KWA KISWAHILI ILI TUELEWE ZAIDI
ReplyDeletetumekusikia mumie, tuatabadilisha post zetu
ReplyDeletehi wapendwa mbona tunapiga simu zenu hamupokei?je muko wapi?
DeleteNaomba munipigie kwa namba hii.
0713635949
Nataka kujiunga na hii kitu urgently
Hi vipi hii diet ya cabbage unatengenezaje hiyo supu?tunataka tukimaliza kuendelea na hiyo
DeleteI know this web page presents quality depending content and additional stuff,
ReplyDeleteis there any other web site which provides these things in
quality?
Also visit my web-site Toby Darrion