A. EGDEPOINT Diet ya siku 14. (long term diet) Day 1: Asubuhi-Kahawa isiyo na sukari Mchana-mayai 2 & mboga za majani Usiku- nyama choma na kachumberi Day 2: Asubuhi- Kahawa isiyo na sukari na mikate vipande 2 Mchana- nyama, kachumberi na matunda Usiku- nyama Day 3: Asubuhi-Kahawa isiyo na sukari na mikate vipande 2 Lunch- boiled eggs & tomato salad Dinner- boiled meat & boiled green vegetables Day 4:Asubuhi-Kahawa isiyo na sukari na mikate vipande 2 Mchana- yai na karoti Usiku- mtindi na matunda Day 5: Asubuhi-Kahawa isiyo na sukari na karoti Mchana- samaki na saladi ya nyanya Usiku- nyama na mboga za majani Day 6: Asubuhi-Kahawa isiyo na sukari na mikate vipande 2 Mchana- kuku wa kuchoma Usiku - mayai na karoti Day 7: Asubuhi-Kahawa isiyo na sukari Mchana -Nyama choma na tunda Usiku - CHOCHOTE!!! | |||||||
UTAFANYA DIET HII KWA WIKI MBILI ALAFU UTAPUMZIKA WIKI MOJA KISHA URUDIE TENA WIKI MBILI HADI UTAKAPOFIKIA UZITO NA MUONEKANO UTAKAO. | |||||||
Sijaweka vipimo vya vyakula na namna ya kupika kwa sababu maalum. Hii ni kwaajili ya kukupa picha ya vyakula gani utakua unaletewa kama utakua member wetu! Bei ni shilingi 8,500 kwa siku nzima na utalipa kila mwisho wa mwenzi. |
Pages
PUNGUZA KILO 9 NDANI YA WIKI NNE!!!!
Breakfast, Lunch na Dinner kwa shilingi 10,000 tu kwa siku! piga 0715808038 kujiunga.
Tuesday, February 21, 2012
Egdepoint diet- Hii ndio diet tunayo wapa wateja wasio na hali yoyote ya kiafya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Why coffe for breakfast?plz google how coffe interfere with diet
ReplyDeletecoffee is the best breakfast for dieters my dear
Deletehii diet inakubalika sana iwapo tu huta-cheat, na pia unatakiwa kuzingatia masharti....na anapokupa coffee ina maana afya yako umeshaeleza ni njema sana siyo mgogoro. otherswise tuwemo.mwenzako mie siku ya pili na-enjoy cos nimejipanga kiakili na kimwili kadhalika ki-mawazo akha wala hakuna ugumu.Lol
ReplyDeletewhy not green tea my dia what if i dont like cofee??
ReplyDeletecan i exchange it with green tea