PUNGUZA KILO 9 NDANI YA WIKI NNE!!!!

Breakfast, Lunch na Dinner kwa shilingi 10,000 tu kwa siku! piga 0715808038 kujiunga.

Wednesday, March 14, 2012

Benefit za EPD

1. Ni njia ya kiasili ya kupunguza unene, yaani vyakula ni natural 100%
2. Unakula balanced diet. Edgepoint diet ina vyakula kutoka jamii zote za vyakula, unapata matunda ,nyama,samaki, mboga za majani, maji, mafuta kidogo, mayai etc
3. Haukai na njaa kama diet zingine, diet yetu ina chakula cha asubuhi, mchana na usiku pamoja na maji lita 2
4. Ni diet rahisi, unakula vyakula vizuri na idadi yakukufanya ushibe kiasi. vyakula kama nyama choma, kuku, samaki, matunda, mayai..ni vitu ambavyo unaenjoy kula, hivyo unapungua uzito the easy way
5. Unapungua fast. yaani, ukiwa siku ya 5, umepungua kilo 3 au zaidi, nguo zitakupwaya, watu wakaribu wata notice kabisa umepungua. wiki ya pili, umepungua kilo 4.5.
6. Haihitaji mazoezi makali ili upungue. ukitembea kwa dakika 30 hadi 40, mwendo mdogo tu, you are good! Kama utapenda kufanya mazoezi makali inaruhusiwa, ila kutembea tu inatosha
7.Unaletewa ulipo, stress ya kufikiria unakula nini leo, kiasi gani, muda wa kuandaa ni juu yetu.
8. Hung'arisha ngozi yako. kama utamaliza maji lita 2 unayoletewa, ngozi yako itakua soft na isiyo na ukavu wala mikunjo kunjo, kwa EPD utapungua unene na kua na ngozi nzuri
9. Money back guarantee, usipopungua na ulifuata maelekezo yote ya diet, tuambie, tutakurefund!

No comments:

Post a Comment