Ukijiunga na EPD una option mbili,
1. Kufanya diet kuanzia Jumatatu hadi Jumapili kwa wiki mbili kisha upumzike wiki moja alafu urudie tena wiki mbili hadi utakapo fikia uzito unaotaka. Katika hii wiki moja ya mapumziko, utaruhusiwa kula vyakula upendavyo ila hadi ushibe tu na sio ziada.
2. Ufanye dieat kuanzia Juamtatu hadi Ijumaa kwa wiki 4 alafu upumzike wiki mbili kisha urudie tena hadi ufikie uzito unaotaka.

No comments:
Post a Comment