"Huyu ni mimi wiki chache kabla ya kuanza diet ya Edgepoint, nilikua na kilo 71." | ||
Na huyu ni mimi wiki mbili tu baada ya Edgepoint diet nikiwa na kilo 66.2! sasa hivi niko katika wiki moja ya mapumziko kabla ya kuanza tena diet wiki ijayo! | |||||||||||||||||

wow, namfahamu huyu dada. amepungua vizuri. na mimi nasubiri mwisho wa mwezi nijikusanyie pesa zangu nianze edgepoint. i neeeeed to loose 10kgs for my wedding wich is in july 2012. kwa wale wa mikoani mtawasaidiaje? nina ndugu yangu najua atapenda kuifanya hii diet she needs to loose weight the safe way sababu ananyonyesha hawezi kutumia madawa
ReplyDelete