wow, namfahamu huyu dada. amepungua vizuri. na mimi nasubiri mwisho wa mwezi nijikusanyie pesa zangu nianze edgepoint. i neeeeed to loose 10kgs for my wedding wich is in july 2012. kwa wale wa mikoani mtawasaidiaje? nina ndugu yangu najua atapenda kuifanya hii diet she needs to loose weight the safe way sababu ananyonyesha hawezi kutumia madawa

ReplyDelete