PUNGUZA KILO 9 NDANI YA WIKI NNE!!!!

Breakfast, Lunch na Dinner kwa shilingi 10,000 tu kwa siku! piga 0715808038 kujiunga.

Monday, March 5, 2012

Tupunguze mwili kwa njia halisi

hi dieters, ningependa kuwajulisha kua vyakula vyetu vya diet ni verryy natural na vinaandaliwa katika mazingira safi. Edgepoint tunapingana kabisa na kupunguza mwili kwa kutumia vidonge au dawa za aina yoyote ile. Nisisitize kua mimi mwenyewe natumia diet hizi na ni mama wa mtoto momja ambaye bado nategemea kuongeza watoto wengine, hivyo ni muoga wakutumia chochote hasa kinachokwenda ndani ya mwii chenye madhara kwangu au kwenye uzazi.
Wanawake wenzangu, nawajali na ninajijali na nawashauri msitumie vidonge au kahawa za kupunguza mwili wakati kuna njia rahisi sana ambazo hazina madhara yoyote kwako.
Pia kuna diet za aina nyingi kama cabbage soup\ wonder soup diet, big breakfast diet, Atikin, South beach nakadhalika ambazo mtu unaweza kufuata za muda mfupi zenye madhara kwa afya yako na uwezekano asilimia 100 za kilo ulizopunguza kurudi ndani ya muda mfupi, ila EGEPOINT tumechagua our special diet ambayo ni ya muda mrefu isiyo na madhara kwako na kukupa matokeo mazuri ndani ya wiki mbili hadi mwenzi.
GO DIETERS!

1 comment:

  1. I love what you guys are usually up too. Such clever work and coverage!
    Keep up the awesome works guys I've incorporated you guys to my blogroll.

    Feel free to surf to my page ... Muhammad Davin

    ReplyDelete