Diane ( aliyevaa nguo nyeupe) amekua nasi kwa siku tisa sasa, endelea kutembelea blog yetu kuona picha za maendeleo yake hadi atakapomaliza diet
!
"kua na Edgepont Dieters kama waangalizi wa uzito wangu ni kitu ambacho nafurahia sana, sikuwahi kufikiria kurudi katika muonekano wangu wa zamani, ila Edgepoint dieters wamenifanyia ndoto zangu kutimia! Nilikua navaa size 14 kabla ya Edgepoint, sasa navaa size 12, mpango wangu ni kupungua hadi kufikia size 10 na kuwa na uzito wa kilo 63 kutoka kilo 85 nilizokua nazo na ninajua nitafikia uzito huo..nawashukuru sana EP na Lily kwa kuniongoza katika safari hii." Dianne

Wow! inawezekana, kinachohitajika ni commitment na juhudi pia. Siwezi ngoja kuanza yangu.....Inshaalah
ReplyDeleteuzuri wa hii diet, sheria ni chache, 1. Donct cheat diet yako, 2. Usile zaidi ya chakula unacholetewa na EP, 3.Fanya mazoezi kodogo tu/ kutembea hadi utoe jasho walau kila siku.
ReplyDeleteEvery testimony inspires me. cant wait for wat i'll tell everyone. Go EP Dietrer's..
ReplyDelete