Edgepoint Dieters iko katika maboresho na marekebisho makubwa...soon tutakua na a fresher and very very serious and biggger EPD.
Kati ya mabadiliko ni,
1. Membership zitakua ni diet food na workout programme kwenye fitness club
2. Membership itainclude dedicated trainer kwaajili yako,
3. Membership itawafanya EPD kua weight watcher wako fully, utamuona mtaalam wa nutrition na health clinic bure!!( specialist amesomea nutrition na weight/ health Marekani)
4. kutakua na aina 3 za membership, Royal class, Excecutive na Premium...kila mtu ataweza afford huduma zetu.
5. Packing ya hamper za chakula itakua bora yenye mouth freshers, quality bags, containers etc etc
6. Ukitaka unaweza letewa chakula chako kikiwa cha moto muda wa breakfast, lunch au dinner
7. EPD haitakua kwa wanene tu, pia kwa wale wanaopenda na kujali miili na afya zao, kula vyakula natural, healthy na vilivyo andaliwa katika mazingira safi kabisa, kwa wenye kisukari, presha na wale amabo wanataka kumaintain miili yao
na mengine mengi mengi......special offers kwa wateja wetu wa mwanzo zitakuwepo.
HOWEVER WE WILL STILL REMAIN THE CHEAPEST SERVICE PROVIDERS AT THE BEST QUALITY!

more details please, like how one can enroll, cost, etc
ReplyDelete