PUNGUZA KILO 9 NDANI YA WIKI NNE!!!!

Breakfast, Lunch na Dinner kwa shilingi 10,000 tu kwa siku! piga 0715808038 kujiunga.

Wednesday, June 6, 2012

Dieters 20 tu kwa wiki kuhudumiwa!

Wapendwa, katika kuwasaidia wakinamama na waschana wenzangu wasiopenda unene na kutaka kupungua kwa njia asili na salama, tutaweza kuhudumia wateja 20 tu kwa wiki ili tuweze kuwa wahishia wote packs zenu. kama mnavyojua mji ni mkubwa na tume weka bei ya huduma reasonable ili kila mtu aweze kuafford, hivyo timu ya usambazaji itaweza kuwahudumia wateja 20 tu, ili kuwa wahishia vyakula. Tulikua tukihudumia hadi wateja 50 kwa siku, ila ilikua inasababisha nusu kupata vyakula mapema na nusu iliyobaki kuchelewa. Hivyowasiliana nasi mapema ili tukuweke kwenye list zetu kuendana na limit hii mpya!
NIA NI KUKUPA HUDUMA BORA KWA BEI NAFUU!

4 comments:

  1. my dear kwa watu wenye ulcers diet yao inakuwaje?
    tusaidie mumy!

    ReplyDelete
  2. kwa wenye ulcers wanatumia fresh boiled milk na clear/ vegetable soup kama dieters wazazi katikati ya mlo.

    ReplyDelete
  3. Mnapatikana wapi najaribu simu zenu sipati

    ReplyDelete