Programme yetu ya Weight watcher inamalizika:
Kwa wenye kutaka kupungua unene na kwa wanaotaka kumaintain uzito wao, kuishi na kula kwa afya! Jiunge na programu yetu kwa shilingi 201,000/= vyakula, 112,000/= mazoezi (kwa mwenzi) au 201,000/= vyakula, 56,000/= mazoezi (mara mbili kila wiki);

- Fanya mazoezi Fitness Master, Leaders
- Pata trainer wako binafsi, Morris (amesomea diet na fitness UK),
- Pata vyakula vyetu vya diet ,
- Pata clinic ya mwili wako bure,
- Trainer atakufuatilia kua unafanya diet na mazoezi kama inavyotakiwa kila siku
No comments:
Post a Comment