PUNGUZA KILO 9 NDANI YA WIKI NNE!!!!

Breakfast, Lunch na Dinner kwa shilingi 10,000 tu kwa siku! piga 0715808038 kujiunga.

Tuesday, February 21, 2012

Sheria za 'EDGEPOINT DIET'

Ukiwa kwenye list ya wateja wetu wa EP diet kuna sheria lazima uzifuate ili ufikie uzito unaotaka/ target weight;
1. Lazima umalize lita mbili za maji unayoletewa siku hiyo,
2. Lazima utembee/ ukimbie/ mazoezi au kufanya shughuli yoyote itakayokutoa jasho kila siku,
3. Usitumie kilevi cha aina yoyote/ soda/ juis/ vitu vyenye sukari kwa kipindi cha wiki mbili (siku 14) ambacho uko kwenye diet,
4. Pata kifungua kinywa kuanzia saa nne asubuhi kuendelea, hii ni kuupa mwili muda wa kutumia chakula ulichokula usiku ,
5.USI CHEAT DIET YAKO! usijiibe na kula chakula tofauti na unacholetewa hata kama ni kijiko kimoja.
USIPOPUNGUA KWA KUFUATA SHERIA HIZI, EP watakurudishia hela yako ya chakula cha mwenzi mzima!!!

No comments:

Post a Comment