Hi Dieters,
kwakweli wiki hii ilikua ngumu sana kwetu, hasa baada ya kupokea wateja 50 wapya, ruti zimekuwa ndefu sana na Bajaji 4 tulizokua tunatumia kushindwa kufikia wateja 70 tuliokua nao. So, ikabidi kununua pikipiki fasta ili tusiwaangushe wateja wetu. zimefika leo na kesho tunaanza kuzitumia rasmi!! foleni is no longer tatizo kwetu na tutawafikia wote kwa muda sahihi! Kumbuka breakfast lazima ikufikie kabla ya saa nne na nusu, ikichelewa piga 0715808038. Lets goooo
Get your sexxy bakk!

No comments:
Post a Comment