PUNGUZA KILO 9 NDANI YA WIKI NNE!!!!

Breakfast, Lunch na Dinner kwa shilingi 10,000 tu kwa siku! piga 0715808038 kujiunga.

Monday, February 27, 2012

watching 50 new clients! wow!

Okay so wiki hii tuna watch weight ya watu 50, itabidi tusipokee wateja wapya kwa wiki hii ili tuweze kuwahudumia kwa ubora na kwa wakati. Jumatatu hii tumefanya kuzijua ruti mpya, wateja mtusamehe ila kuanzia mchana, watu wetu wadelivery watakua wamezijua vizuri na mtapata chakula on time!
pia tuna watu 10 ambao wako wiki ya mapumziko...ukiwaangalia, wamepungua haswa na kwa kweli wanatushukuru sana kwani hawakutegemea matokeo mapema. tunaandaa picha zao za before and after na ujumbe kutoka kwao!

6 comments:

  1. Wow, natamani wiki yangu ya kuanza ifike haraka, Big up kwenu kwa kuanzisha kitu chenye faida kwetu. God bless u

    ReplyDelete
  2. On Day 1 and at 79Kg's, lets see how many Kg's I will loose after 14 days of dieting and exercising. Go Edgepoint dieter's.

    ReplyDelete
  3. Hii imetulia kweli, lakini mimi nipo tofauti nawe kidooooogo tu, NATAKA KUONGEZA WEIGHT kwa kilo kama tano hivi, nimepungua sana, NIFANYEJE?? Naamini utanijibu mapema.

    Mdau

    ReplyDelete
  4. Unfortunately sikupima uzito kabla ya kuanza diet na niko day 3. But i can feel that am a bit light. Though napata temptations za kula ila wen i remember don cheat on your diet...awww the hunger flies.. Thanx for taking care of me.

    ReplyDelete
  5. JAMANI MBONA MIMI HUNIJIBUUUU?? IMANI YANGU NI KWAMBA KAMA UNAWEZA KUWASAIDIA WATU KUPUNGUZA UZITO NAAMINI HATA KUONGEZA UZITO PIA UNAWEZA KUNISAIDIA, SIMU ZENU NIMEPIGA WEEEEEEEEEEEE HAZIPOKELEWI, Please nisaidie.

    Ni mimi mdau wa Feb 28,2012 01:27 am

    ReplyDelete